Usikose kusoma gazeti la TABIBU kesho Alhamisi kwa bei ya sh. 500/= tu. Fahamu undani wa magonjwa sugu na tiba zake kwa kutumia mimea asilia.
Kwa habari za michezo na Burudani soma Tabibu.!!Wednesday, December 14, 2016
Wednesday, December 7, 2016
Wednesday, November 30, 2016
Wednesday, November 23, 2016
Wednesday, November 9, 2016
Wednesday, October 19, 2016
Fahamu kuhusu maajabu ya mti wa mvunge katika tiba.
Mti wa mvunge au Miegeya au Kigelia Africana kama
unavyojulikana katika sayansi ya mimea ni mti unaostawi katika maeneo yenye
ardhi yenye unyevunyevu na una tabia ya ustawi kama mwembe na huzaa matunda
yanayofanana na mbuyu.Mti huo unaojulikana kwa jina la sausage tree katika
lugha ya kiingereza hukua na kufikia urefu wa mita 20, hupatikana katika nchi
nyingi za Afrika na baadhi ya nchi za bara la Asia.
Mti huo unaoelezwa kuwa na uwezo wa kuongeza maumbile ya kiume na kwa upande wa wanawake una uwezo wa kuongeza makalio, mahips na matiti.
Mti huo unaoelezwa kuwa na uwezo wa kuongeza maumbile ya kiume na kwa upande wa wanawake una uwezo wa kuongeza makalio, mahips na matiti.
Sambamba na hayo, mti huo unaostawi zaidi katika mikoa ya Tanga,
Pwani, Mbeya, morogoro na mingine, unaelezwa kuwa na uwezo wa kukabiliana na
ugonjwa wa saratani ya kizazi na ngozi, malaria na nimonia. Faida zingine za mazao
ya mti huo ni kutibu vidonda, matatizo ya tumbo kwa watoto, maambukizi ya
fangasi na bakteria.
Hutibu upungufu wa nguvu za kiume, ugumba kwa wanaume na
kuongeza hamu ya tendo
Utafiti uliofanywa na watafiti Owolabi na Omogbai mwaka 2007,
ulibaini kuwa matunda, mizizi na majani ya mvunge yana uwezo wa kutibu tatizo
la ugumba kwa wanaume, kukosa hamu ya tendo la ndoa pamoja na upungufu wa nguvu
za kiume.
Subscribe to:
Posts (Atom)